Unda, badilisha na ushirikiane na wengine kwenye majedwali kutoka katika simu au kompyuta kibao yoyote ya Android kwa kutumia programu ya Majedwali ya Google. Ukiwa na Majedwali ya Google unaweza:
- Kuunda majedwali mapya au kubadilisha faili zilizopo - Kushiriki majedwali na kufanya kazi pamoja na wengine katika jedwali moja kwa wakati sawa. - Kufanya kazi zako wakati wowote - hata bila muunganisho wa intaneti - Kuongeza na kujibu maoni. - Kubadilisha muundo wa visanduku, kuingiza au kupanga data, kuangalia chati, kuweka fomula, kutumia tafuta au badilisha, na mengine. - Kukaa bila hofu ya kupoteza kazi yako - kila kitu kinahifadhiwa kiotomatiki kadri unavyocharaza. - Kupata maarifa, haraka, kuweka chati na kubadilisha muundo kwa kugonga mara moja tu Kichunguzi - Kufungua, kubadilisha na kuhifadhi faili za Microsoft Excel.
Unda na ubadilishe malahajedwali ukiwa mahali popote.
Ilisasishwa tarehe
29 Sep 2026
Kuongeza tija
Usalama wa data
arrow_forward
Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Hakuna data inayoshirikiwa na wengine
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha kushiriki data
Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
Mahali, Taarifa binafsi na nyingine8
Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
Unaweza kuomba data hiyo ifutwe
Ukaguzi huru wa usalama
Angalia maelezo
Ukadiriaji na maoni
phone_androidSimu
laptopEneo-kazi
tablet_androidKompyuta kibao
4.9
Maoni 2.44M
5
4
3
2
1
Kulwa Paulo
Ripoti kuwa hayafai
22 Machi 2022
Nzuri
Watu 13 walinufaika kutokana na maoni haya
Vipengele vipya
* Hitilafu zimerekebishwa na utendakazi kuboreshwa